Michezo

Live – Simba 1-2 Al Masry: Kombe La Shirikisho Barani Afrika

Dak ya 56, Kapombe anapoteza mpira kizembe, Masry wanachukua, Nyoni anapewa kadi ya njano baada ya kucheza madhambi
Mechi ni mapumziko wenyeji Simba wakiwa nyuma na wageni Al Masry wakiongoza.

Simba SC 1 – 2 Al Masry Bocco 10′ (P) Ahmed 11′ Abdalrauf 26′ (P)

Dak ya 47, Masry wanatumia muda mwingi kupoteza muda

Dak 3 zimeogezwa na Shiza Kichuya anapewa kadi ya njano

Dak ya 41, Hatari katika lango la Simba lakini mabeki wanaokoa, mpira unapigwa mbele na mabeki wa Masry wanatoa, unarushwa kuelekea Masry

Dak ya 36, Mpira umeshaanza, sasa Nyoni kwake Kichuya, unapigwa kwake Kotei, faulo.

Dak ya 29, Faulo inatokea hapa baada ya Kotei kudondoshwa, Kapombe sasa anamtafuta Okwi lakini mpira unaokolewa na wapinzani

Dak ya 27, Mchezaji wa Masry amedondoka hapa, Masry wako mbele kwa mabao 2-1

Dak ya 25, Gooooo, Masry wanafunga la pili, penati ya Ahmed inaingia kimiani

Dak ya 18, Mpira anao  Asante Kwasi anampigia Bocco lakini unaokolewa, Simba wanauchukua tena kwake Okwi, mabeki wa Masry wanambana na kumnyang’anya mpira

Dak ya 12, Simba wanapasiana sasa eneo la nyuma, Kapombe anampasia Kapombe, Kapombe kwake Erasto Nyoni

Dak ya 11, Gooooooli, Masry wanasawazisha hapa ni 1-1, mfungaji ni Mohammed Gomaa

Dak ya 9, Bocco anapigaaa, gooooooooooooooli

Dak ya 8, Penatiiii, Simba wanapata penati baada ya beki wa Masry kuushika mpira

Dak ya 6, Hatari katika lango la Masry, Nyoni anapiga krosi, kona, Kichuya anapiga tena kipa anaokoa na kuutoa nje, kona ya pili

Dak ya 4, Masry wanaanza sasa, unapigwa mreefu mpaka kwa kipa wa Simba, Manula anaudaka

 

#SisiNiSoka #KandandaMbashara #CAFConfederetionCup #CafCC #AzamTVApp #AzamTV

Facebook Comments

Show More

Related Articles

Close