Chege Chigunda Apata Mtoto wa Kike

0
336

MSANII Mkongwe wa Bongo Fleva, Saidi Juma Hassani maarufu kama Chege Chigunda amepata mtoto wa kike baada ya mkewe anayefahamika kwa jina la Zahra kujifungua salama salimin jana.

Mkali huyo wa ngoma ya Runtown amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka picha na mkewe huyo na kui-tag akaunti mpya ya mwanaye huyo aliyempa jina la Jadah.

Facebook Comments