EntertainmentUncategorized

Wema Sepetu, Faiza Ally na Aunty Ezekiel wakunwa na Barnaba jukwaani (+video)

Wasanii wa filamu nchini Tanzania wamejikuta wakishindwa kuzuia hisia zao baada ya msanii wa Bongo Fleva, Barnaba kutumbuiza nyimbo nne jukwaani kwenye usiku wa The Vikings ulioandaliwa na Papii Kocha na Baba yake Babu Seya.

Wasanii hao walionekana wakicheza na wengine kupanda jukwaani akiwemo mtangazaji Mboni Masimba na kumpa zawadi kwa show kali aliyofanya.

Facebook Comments

Show More

Related Articles

Close