Uncategorized

Trump Amtimu Waziri wa Mambo ya Nje, Tillerson

Leo March 13, 2018 Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi Waziri wake wa Mambo ya nje Rex Tillerson na kumteua Mkurugenzi Mkuu wa CIA Mike Pompeo kuchukua nafasi hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Trump ameandika “Mike Pompeo, Mkurugenzi wa CIA, atakuwa Waziri wetu mpya wa Mambo ya nje. Atafanya kazi nzuri,”.

“Asante sana Rex Tillerson kwa huduma yako,” -Rais Trump.

Aidha, amesema kuwa alitofautiana na Tillerson kuhusu baadhi ya masuala hasa kuhusu mkataba wa Iran, kati ya nchi hiyo na nchi za Magharibi.


Facebook Comments

Show More

Related Articles

Close