Burudani

Alikiba anatarajia kuoa usiku wa leo

 

Msanii wa muziki Bongo, Alikiba anatarajia kuoa usiku wa leo.

Kwa muijibu wa Pilipili FM, Alikiba anafunga ndoa na mpenzi wake, Aminah Rikesh, Mombasa nchini Kenya.

Mama wa Bibi Harusi amesema; “Tunasherekea harusi ya mtoto wangu anaolewa na Alikiba, tunashukuru Mwenyenzi Mungu atupe furaha, anayepanga ni yeye hakuna anayeweza kupangua hata kama Alikiba ametoka TZ lakini Mungu ndio ameshapanga”

Facebook Comments

Tags
Show More

Related Articles

Close