BurudaniMastaa

Diamond na Mobeto Wachafua Mtandaoni… Daimond Aweka Video Wakiwa Chumbani

Usiku wa kuamkia leo umekuwa wa aina yake baada ya staa wa Bongo Staa, Diamond Platnumz kuweka vipande vya video vikiwaonyesha wakicheza na mzazi mwenzie Hamisa Mobeto wachafua hali ya hewa.

Inadaiwa Diamond kafanya hivyo baada ya kupewa na madongo na mzazi mwenzia Zari siku ya jana kupitia mitandao.

Facebook Comments

Tags
Show More

Related Articles

Close