Burudani

Imevuja: Video Ya Diamond Na Mobeto Wakijiachia Kitandani, Zari Ajibiwa


Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Jana Usiku Kupitia mtandao wa Snapchat Msanii Diamond alianza kuachia Video Mbali mbali zikimuonesha akiwa chumbani na binti mmoja wa kiarabu ambaye bado hajafhamika haswa ni nani Lakini pia moja kati ya video akiwa na Hamissa Mobetto Sasa inasemekana sababu ya kuachia video hizo ni kumuonesha Zari Kuwa hana mpango Wakurudi Kwake pia Baada ya mwanamama huyo kumtukana kupitia mtandao huo huo wa snapchat kuwa Diamond hajitambui.

 

Mdada huyoo wa Kiarabu ambaye alianza kuonekana siku chache nyuma wakiwa katika gari na msanii Diamond Platnumz Basi Alitumika kama fimbo ya kumchapia mwanamama zari kwani katika hiyo video kuna sehemu Diamond alikuwa akishika nywele za mwanadada huyo halafu akawa anasema Mwanamke nae akiwa anavaa mawiving inaboa mwanamke awe na nywele zake natural Lakini pia katika video nyingine Diamond alipost yuko na Hamissa Mobetto huku wakimkejeli Zari kwa hamissa kujifanya anaomba Child support Baada ya zari kuandika kuwa Diamond Platnumz Ana muda mrefu Hajawaona watoto wake na vitu vingine kama hivyo Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Facebook Comments

Show More

Related Articles

Close