MahusianoMastaa

Lulu Birthday: Majay amwambia Lulu, ‘Utaendelea kuwa wa muhimu kwangu’

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya EML, Francis Anthony Ciza a.k.a Majay ambaye anayetajwa kuwa mpenzi wa wa Elizabeth ‘Lulu’ Michael amesema mrembo huyo ambaye anatumikia kifungo cha miaka miwili jela ataendelea kuwa mtu wa muhimu kwake.

Ujumbe wa Majay unakuja ikiwa leo, April 16, 2018 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Lulu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Majay ameandika;

There are many days passing in life, but today is very important. First it explains that you are a very important person in your life, and second; You continue to be the most important person to me. You are a Woman and a half. I love you so much, Mama G. Happy birthday.

Facebook Comments

Show More

Related Articles

Close