BurudaniVideo

Video: BIBI HARUSI (MKE WA ALIKIBA) ALIVYOINGIA UKUMBINI..

MSANII Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake Aminah Rekish asubuhi ya jana katika msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa nchini Kenya. Na usiku wa kuamkia leo sherehe imefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee ulioko jijini humo.

Facebook Comments

Show More

Related Articles

Close