MastaaVideo

WEMA MAHAKAMANI: “SINA MATUMAINI YOYOTE, BORA MASOGANGE ALISHAHUKUMIWA” – VIDEO

Msanii Filamu Wema Sepetu Amefika Katika Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu Kusikiliza Kesi Inayomkabili ya Kukutwa na Dawa za Kulevya Aina Ya Bangi. Akizungumzia kesi hiyo amesema hana uhakika kama atashinda au atashingwa hivyo anamuachia hakimu ndo atoe hukumu

 

Facebook Comments

Tags
Show More

Related Articles

Close