BurudaniMastaaMichezoVideo

Video: Dakika 3 Za Hamonize Kuzinguana na Mabaunsa wa Uwanja wa Taifa

Msanii kutoka label ya WCB, Harmonize na mpenzi wake walilazimika kwenda kukaa kuzinguana na mabaunsa wa uwanja wa Taifa kisa kikiwa Harmonize kalazimisha kuingia geti ambalo hakutakiwa kupitia kuingia Uwanjani kuangalia mechi ya Simba na Yanga

Facebook Comments

Tags
Show More

Related Articles

Close