BurudaniMahusiano

A-Z VIDEO: Party ya Wema na Monalisa, Yatikisa Bongo Muvi


WASANII wa kundi la Bongo Muvi Raha siku ya Jumatano Mei 9 waliwafanyia pati ya kuwapongeza wasanii wenzao, Wema Sepetu na Yvonne Cheri ‘Monalisa’, baada ya kupewa tuzo za uingizaji bora. Pati hiyo ilifanyika ndani ya The Life Club, Mwenge Jijini Dar na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali wa filamu.

Facebook Comments

Tags
Show More

Related Articles

Close