Mastaa

Mbosso Afunguka Kuzawadia Gari La Kutembelea na TTTR -Video

Msanii wa muziki Mbosso usiku wa kumkia Jumatatu hii amefanya show yake kwanza ya nguvu toka ajiunge na WCB akitokea Yamoto Band ambako alikuwa anafanya muziki kama kundi. Muimbaji huyo alitumia kiuno chake wakati akiimba moja kati ya nyimbo zake na kusababisha warembo kupande stejini za kuanza kucheza naye.

Facebook Comments

Tags
Show More

Related Articles

Close