Saturday, March 17, 2018

Vanessa Mdee, Millard Ayo, Wazidua Instagram Bure Ya Vodacom

KAMPUNI ya simu ya Vodacom leo imezindua rasmi huduma mpya ya kutumia Mtandao wa Kijamii wa Instagram bure nchini Tanzania kwa mara ya kwanza, uzinduzi uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo...

Wolper Akibambiwa na Papii Kocha Ukumbi wa King Solomon

Wachaa wee 🔥 Asante miss paparazzi 👉📸 @nemyngowi 👉 @papiikocha2 A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on Mar 14, 2018 at 10:07am PDT A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on Mar 14, 2018...

Picha: Uzinduzi wa Albamu ya Diamond Watikisa Kenya

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezindua rasmi albamu yake mpya 'A Boy From Tandale' jijini Nairobi na kufanya bonge la shoo akiwa na timu nzima ya WCB.   Mbali na WCB, wasanii wengine waliopada jukwaani...

Wastara Sajuki Ajutia ndoa yake na Mbunge wa CCM

Muigizaji na Mfanyabiashara, Wastara Juma amesema kwenye maisha yake mwanaume anayejutia kuwa naye kwenye mahusiano ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma kwani hakumjua vizuri kabla ya kukubali kufunga naye ndoa. Akizungumza leo...

Jux – Fimbo (Official Music Video)

Staa wa muziki wa R&B Juma Jux time hii anakusogezea video mpya ya kuitazama “Fimbo” akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo ili kuburudika bonyeza PLAY hapa chini. 

Mama Kanumba: “Sijawahi kulia shida kwa Wema, Lulu kafungwa na Jamhuri”

Mama Mzazi wa marehemu Steve Kanumba amezungumza baada ya uvumi wa story kusambaa kuwa alikwenda kwa Wema Sepetu na hakufunguliwa mlango kitu kilichopelekea yeye kulalamika, Sasa Mama Kanumba kasema hajawahi kumuomba Wema msaada wala...

Diamond: Media Zinazokataa Kupiga Nyimbo Zangu Zinapotea

Mwanamuziki wa Bongo fleva na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa chombo chochote cha habari ambacho kinaibania WCB kwa njia yoyote basi kitapotea kwani yeye ni kama maji usipokunywa...

Pretty Kind Amwangukia Waziri Shonza

KUTOKANA na hivi karibuni kufungiwa kujihusisha na sanaa kwa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kutokana na kujiachia nusu utupu mitandaoni, msanii wa filamu na muziki, Suzan...

Dogo Janja afunguka sababu ya kupangiwa ratiba ya ‘unyumba’ na mkewe

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua kizaa...

Dada wa Diamond Amfagilia Zari, Afungukia Skendo Ya Usagaji

MWANAHAWA Abdul ambaye wengi humfahamu kwa jina la Queen Darleen ni ‘first lady’ wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ili chini ya kaka yake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kwa sasa ana miaka 15...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT