Saturday, March 17, 2018

Video: Jionee Uzinduzi wa Albam Ya A Boy From Tandale – Diamond

The King of East African Pop Music finally released his major label debut album which he features various African and American Artists. The Album was launched in Nairobi Kenya on 14th March 2018 with...

Uchebe Nae Aposti Uwa Jeusi la Zari, Adaiwa Kutemana na Shilole

Zuwena mke wangu nakupenda sana unanifanya niwe na furaha kila siku Mungu atujalie Afya njema na nitafurahi nikipata copy yako 🙏🙏 A post shared by uchebe1☆☆☆☆ (@uchebe1) on Mar...

Wema Sepetu, Faiza Ally na Aunty Ezekiel wakunwa na Barnaba jukwaani (+video)

Wasanii wa filamu nchini Tanzania wamejikuta wakishindwa kuzuia hisia zao baada ya msanii wa Bongo Fleva, Barnaba kutumbuiza nyimbo nne jukwaani kwenye usiku wa The Vikings ulioandaliwa na Papii Kocha na Baba yake Babu...

Tunda Amuomba Msamaha Aunty Ezekiel Kisa Deni

Miezi kadhaa iliyopita kupitia mtandao wa instagram wa video vixen maarufu Tunda alirushiana maneno na muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mzazi mwenzake Mose Iyobo na kusemekana kuwa Tunda alishindwa kulipa deni alilokuwa akidaiwa na...

Darassa Adaiwa Kupotea Kwenye Muziki!

MKALI wa michano Shariff Thabeet ‘Darassa’ ni mwanamuziki anayekubalika. Ukisikiliza ngoma zake za Shida, Hasara Roho, Too Much na nyingine nyingi utagundua jamaa huyu ana uwezo mzuri wa kutunga mistari yenye kuwateka mashabiki. Hata hivyo...

Tiko Awataka Mastaa Kuheshimu Serikali

MREMBO wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Tiko Hassan ameibuka na kuwataka mastaa wenzake kutii serikali pindi wanapoitwa kwa ajili ya kazi zao za sanaa na siyo kudharau. Akistorisha na Za Motomoto News, Tiko alisema...

Wema Sepetu Amjibu Zari Kuwa Amuulize Diamond, Atua Wasafi TV – Video

Msanii wa filamu Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza Jumapili hii kuzungumzia kuhusika kwake katika kulivunja penzi la Diamond na Zari. Muigizaji huyo amekanusha tuhuma hizo huku akidai hawezi kumshauri chochote Zari kwa...

Freeman Mbowe aruhusiwa kutoka hospitali

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) ameruhusiwa kutoka hospitali hapo baada ya madaktari kujiridhisha kuwa afya yake imeimarika. Mbowe alilazwa hospitalini hapo kuanzia juzi usiku...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT