Saturday, March 17, 2018

Wema Sepetu Uvumilivu Umemshinda, Ashika Watu koo

Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amedai amevumilia matusi vya kutosha anayotukanwa na kupitia mitandao ya kijamii bila kosa lolote hivyo kwa sasa ataenda nao hatua kwa hatua. Wema...

Alichokisema Hakimu Katika Kesi ya Malinzi Kuhusu Upelelezi Kutokamilika Kila Kesi Ikitajwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeuagiza upande wa Jamhuri kukamilisha kwa haraka upelelezi wa kesi ya vigogo watatu wa Shirikisho la Soka (TFF), akiwamo aliyekuwa rais Jamal Malinzi, ili haki...

Baadilisha Maisha na Mtandao wa simu, Angalia Video Hii

The #CaseForChange has travelled with Neema from thebongolese.com to Nyombo village – one of the most remote villages, and one of the first to be connected – where she’s meeting three residents whose lives...

LIVE: Rais Magufuli akizindua Ujenzi wa Reli ya Kisasa Dodoma leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 14, 2018, amezindua Reli ya Standard Gauge, mkoani Dodoma. Reli hiyo itakuwa inatoka Mkoani Morogoro mpaka Makutupora Dodoma. 

Mambosasa: Nondo alijiteka, alienda kwa mpenzi wake Iringa (Video)

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetolea ufafanuzi kuhusu kile kinachoitwa kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Nchini TSNP, Abdul Nondo. Akizungumza na Wandishi wa Habari Kamanda wa Kanda Maalumu, Lazaro...

Al-Masry Yaweka Masharti 10 Ya Kununua Tiketi ya Mechi ya Marudiano na Simba

Tiketi za mechi ya marudiano kati ya waarabu klabu ya Al-Masry na klabu ya Simba zimeanza kuuzwa lakini masharti 10 muhimu ya kuzingatia ili uweze kupata tiketi yako. Tiketi hizo zimeanza kuuzwa mtandaoni na wanaohitaji...

Video: Mtoto wa Miaka 5 Ampeleka Polisi Baba Yake, Kisa Kuuza Shamba

MTOTO mmoja mwenye umri wa miaka mitano amemfikisha katika Kituo cha Polisi Ngara, mkoani Kagera baba yake mzazi baada ya kubaini kuwa baba yake anataka kuuza kinyemela shamba ambalo ni urithi wa watoto wake.   Akizungumza...

Mapya Tena! Mbasha Amwagia Sifa Madam Flora

MWIMBAJI wa injili Emmanuel Mbasha amefunguka na kumshukuru aliyekuwa mkewe, Madam Flora kwa kumzalia mtoto wa kike mzuri huku akilalama kwa kunyimwa fursa ya kuonana na mwanaye huyo kwa muda wa miaka miwili sasa. Mbasha...

Rais Wa Mauritius Kujiuzulu Baada Ya Kutumia Fedha Za Msaada

  Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim atajiuzulu, Waziri Mkuu Pravind Jugnauth alisema, baada ya madai kuwa alitumia pesa za masaada kwenye ununuzi binafsi huko Dubai Jugnauth alisema rais alitoa ombi hilo mwenyewe alipokutana naye Ikulu. Na...

Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami Atoweka Siku 14…..Gari Lake Lakutwa Mbungani Limechomwa Moto

Mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah, ametoweka kwa zaidi ya wiki moja sasa na gari lake aina ya Toyota Landcruizer kukutwa likiwa limechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara. Gari...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT