Saturday, March 17, 2018

Mambo Yatakayokusaidia Kudumisha Mahusiano ya Mapenzi

Kuna nukuu inayosema “Uhusiano mzuri hautokei tu peke yake bali huchukua muda, uvumilivu, na watu wawili ambao kikweli wanataka kuwa pamoja.” Japo inasemwa kuwa mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana...

Snura Adaiwa Kujiweka Kwa Prodyuza Wa Harmonize

FRANK Mshumbusi almaarufu Fraga ambaye ndiye prodyuza wa Wimbo wa Happy Birtyhday wa msanii kutoka Wasafi , Harmonize amejiweka kwa msanii Snura ambapo hivi karibuni wawili hao walionekana wakiwa wamegandana ndani ya Studio za...

Irene Uwoya: Namuamini Dogo Janja kwa 80% sio 100%

Baada ya kukwepakwepa Interview nyingi za Media TZ baada ya Ndoa yake na Dogo Janja Irene Uwoya apiga Interview na team LeoTena ya Clouds Fm 

Dogo Janja Afunguka Sababu za Kupangiwa Ratiba ya ‘Utamu’ na Uwoya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua kizaa...

Diva: Kama Huna Milioni 500 Huwezi Kunioa

Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500. Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha...

Aina 10 Za Wanawake Unapaswa Kuwaogopa Kama Ukoma

Katika kuangalia tabia za wanawake, nakuja na orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha yako ya mahusiano kuwa ya balaa. Labda sahizi uko katika mahusiano ya muda mrefu...

Diamond Kuoa Kati Ya Zari, Wema Sepetu na Hamisa Mobeto

  Mara baada ya kumwagana na mama watoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kisha kumuahidi mama yake kuwa mwaka huu lazima afunge ndoa, staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, ameibua gumzo la...

Chemical Sababu ya Kufanya Movie na Wema Sepetu

Msanii wa muziki Bongo, Chemical amefunguka sababu iliyopelekea kufanya movie na muigizaji Wema Sepetu. Chemical amesema licha ya kutoa ngoma ‘Mary Mary’ aliamua kutumia title hiyo katika movie yake hiyo na kufanya na Wema ni...

Mapenzi Yamliza Nisha, Ajifariji na Sikomi ya Diamond

Wimbo wa msanii Diamond Platnumz ‘Sikomi’ wamfariji na kumtoa machozi muigizaji Nisha baada ya mpenzi huyo kuonekana kupitia kipindi kigumu katika mapenzi na kutamani kuwa Bachela. Hivi karibuni kumekuwa na stori kuwa aliyekuwa mpenzi wa...

Shamsa Ford afichua kinachowashinda mastaa wa kike katika mahusiano

Msanii wa Filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka sababu ya baadhi ya mstaa hasa wa kike kutodumu katika mahusiano. Muigizaji huyo amesema mahusiano ya watu maarufu hayadumu kutokana wanaingiza umaarufu wao katika mahusiano yao. Kupitia ukurasa...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT