Saturday, March 17, 2018

Wema Sepetu Amchanganya Diamond, Mahaba ni Moto, Insta Pamechafuka!

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu kutupia picha yake na kumtag akisema "I'm inlove with you there's nothing dat...

Wastara Juma Shavu Nchini Swedeni Kuwakilisha Wanawake

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi Bongo na kupata nafuu amelamba shavu la kwenda nchini Sweden kuwakilisha wanawake walemavu wa Kiafrika. Akiongea juzi,...

Wema Sepetu Uvumilivu Umemshinda, Ashika Watu koo

Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amedai amevumilia matusi vya kutosha anayotukanwa na kupitia mitandao ya kijamii bila kosa lolote hivyo kwa sasa ataenda nao hatua kwa hatua. Wema...

Snura Adaiwa Kujiweka Kwa Prodyuza Wa Harmonize

FRANK Mshumbusi almaarufu Fraga ambaye ndiye prodyuza wa Wimbo wa Happy Birtyhday wa msanii kutoka Wasafi , Harmonize amejiweka kwa msanii Snura ambapo hivi karibuni wawili hao walionekana wakiwa wamegandana ndani ya Studio za...

Ushoga Wake na Wema… Aunt Atoa Povu Unafiki Wake kwa Zari

Baada ya picha mpya kusambaa na kuonesha muigizaji Aunt Ezekiel akiwa karibu na Wema Sepetu, wafausi wa aliyekuwa mchumba wa Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamemchachamalia...

Irene Uwoya: Namuamini Dogo Janja kwa 80% sio 100%

Baada ya kukwepakwepa Interview nyingi za Media TZ baada ya Ndoa yake na Dogo Janja Irene Uwoya apiga Interview na team LeoTena ya Clouds Fm 

Dogo Janja Afunguka Sababu za Kupangiwa Ratiba ya ‘Utamu’ na Uwoya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi sababu za kupangiwa ratiba na mke wake huyo, jambo ambalo lilizua kizaa...

Diva: Kama Huna Milioni 500 Huwezi Kunioa

Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500. Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha...

Wolper Akibambiwa na Papii Kocha Ukumbi wa King Solomon

Wachaa wee 🔥 Asante miss paparazzi 👉📸 @nemyngowi 👉 @papiikocha2 A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on Mar 14, 2018 at 10:07am PDT A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on Mar 14, 2018...

ZARI KUWAPELEKA WATOTO KANISANI KIBABE, KIMENUKA!

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuonekana akiwapeleka watoto wake kanisani, imeelezwa kuwa, familia ya mzazi mwenzake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imecharuka vibaya...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT