Saturday, March 17, 2018

Utajiri Wa Trump Wapungua Kwa Dola Mil 500

  UTAJIRI wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeporomoka mwaka huu baada ya kupungua kwa Dola milioni 500 ambazo ni sawa na trioni Sh. 1,126,925,000,000 za Tanzania. Matokeo yake, Trump, mwenye umri wa miaka 71, ameondoka...

Wachina Wagombea Kalio La Aunty Lulu! – Video

KATIKA hali ya kustajabisha, Wachina ambao hawakuweza kufahamika majina yao, wamenaswa wakipagawa na kugombea kumshika kalio, mtangazaji maarufu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ nchini China. Mrembo huyo amekwenda nchini humo hivi karibuni ambapo tukio hilo...

Hali ya Mhe. Lissu yazidi kuimarika, aanza kufanya mazoezi mitaani Ubelgiji

Hali ya afya ya Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Mhe. Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa ameanza kufanya mazoezi mitaani. Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji akiwa...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT