Saturday, March 17, 2018

Live Kutoka Botswana, Township Rollers 0-0 Young Africans, Ligi Ya Mabingwa Afrika

Dak 49, Hatari langoni mwa Yanga ndani ya penati boksi, Rostand anaokoa. Dk 48, Rollers wanapandisha mashambulizi, Gadiel Michael anatoa mpira, unarushwa kuelekea Yanga, unamkuta lemponye, anapiga, Dante anaokoa. Dk 46, Mpira umesimama, mchezaji wa Township...

Beki Yanga Afuguka Kuwashangaza Waswana Leo

NAHODHA msaidizi na beki wa kati tegemeo wa Yanga, Kelvin Yon­dani amesema wanataka kuwashangaza mashabiki wao kwa kuweka bonge la rekodi dhidi ya Town­ship Rollers ya Botswana. Yanga, leo inatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Taifa...

Ratiba Ya Robo Fainali Uefa Yaanikwa, Liverpool vs Manchester City

Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana kwenye hatua ya robo fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya tayari imeshafanyika. Jumla ya timu 8 zilizokuwa zimefuzu kuingia hatua hiyo tayari kila mmoja ameshapangiwa mwenzake. Mpangilio huo umekamilika kwa...

Wambura Awagomea Kamati ya Maadili Ya TFF

Makamu wa Rais wa TFF Michael Richard Wambura. Muda mfupi baada ya TFF kutoa taarifa hiyo, Wambura naye alikutana na waandi­shi wa habari na kuzungumza. Alisema kamati hiyo ya maadili haina mamlaka ya kisheria. “Kisheria makamu wa...

TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura. Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura kutojihusisha na soka maisha yake yote. TFF imetangaza rasmi maamuzi ya Kamati hiyo saa...

Chelsea ndio basi tena UEFA, Yapigwa 3-0 na Barcelona

Baada ya kumalizika kwa baadhi ya game za UEFA Champions League hatua ya 16 bora msimu wa 2017/2018, game ya mwisho ya marudiano ya hatua ya 16 bora kati ya FC Barcelona dhidi ya...

Mashabiki wa Man United wametaka kocha Mourinho Atimuliwe

Mashabiki wa Manchester United wametaka kocha Jose Mourinho ATIMULIWE kufuatia aibu ya kutolewa kwenye hatua ya 16 bora ya Champions League kwa kufungwa 2-1 na Sevilla kwenye uwanja wa nyumbani – Old Trafford. United haijawahi...

Al-Masry Yaweka Masharti 10 Ya Kununua Tiketi ya Mechi ya Marudiano na Simba

Tiketi za mechi ya marudiano kati ya waarabu klabu ya Al-Masry na klabu ya Simba zimeanza kuuzwa lakini masharti 10 muhimu ya kuzingatia ili uweze kupata tiketi yako. Tiketi hizo zimeanza kuuzwa mtandaoni na wanaohitaji...

Man United Yawafunga Liverpool 2-1, Old Trafford

Manchester United (4-2-3-1): De Gea; Valencia, Bailly, Smalling, Young; Matic, McTominay; Mata (Lingard 88), Sanchez (Darmian 90+6), Rashford (Fellaini 70); Lukaku Subs not used: Romero, Shaw, Lindleof, Carrick Goals: Rashford 14, 24 Booked: Rashford, Valencia Manager: Jose Mourinho Liverpool...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT