Saturday, March 17, 2018

Wema Sepetu Amchanganya Diamond, Mahaba ni Moto, Insta Pamechafuka!

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu kutupia picha yake na kumtag akisema "I'm inlove with you there's nothing dat...

Mwandishi Dar Akimbia ‘Wasiojulikana’, Apewa Hifadhi Finland

Mwandishi Ansbert Ngurumo. MWANAHABARI Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ambayo ofisi zake kuu zipo Dar es Salaam, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi kwa muda baada ya kudai...

Serikali Yasema Deni la Taifa Lafikia Sh47.756 Trilioni

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema hadi Desemba 2017, deni la Taifa lilikuwa limefikia Sh47.756 trilioni na tathmini zinaonyesha bado ni himilivu. Akiwasilisha mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa...

Audio: Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka...

Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amesema suala la bunge kujadili hali ya usalama wa nchi na kutaka kamati iundwe kuchuguza matukio mbalimbali ya kihalifu kutasababisha hali ya taharuki ambayo tafsiri yake ni kama...

Hali ya Mhe. Lissu yazidi kuimarika, aanza kufanya mazoezi mitaani Ubelgiji

Hali ya afya ya Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Mhe. Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa ameanza kufanya mazoezi mitaani. Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji akiwa...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT