Saturday, March 17, 2018

Niliua Kumlinda Mama Yangu – 09

“Unahitaji nini?” aliuliza Phillip huku uso wake ukiwa kwenye tabasamu pana. “Nataka chakula.” Hapohapo Phillip akamuita mfanyakazi wa ndani na kumwambia amletee chakula, kwa haraka, chakula kikaletwa na kuanza kula, alipomalizwa, akachukuliwa na kupelekwa katika chumba...

Niliua Kumlinda Mama Yangu – 08

“Ilikuwaje mpaka ukanusurika?” “Ni stori ndefu. Ila sikutaka kujitokeza mapema kwa kuwa nilitaka ujifunze kwamba hautakiwi kumwamini kila mtu. Niliacha makusudi kwa kuwa nilijua kwamba yote yaliyotokea yangetokea,” alisema Phillip. “Naomba unisamehe mume wangu.” “Usijali. Mruhusu Cynthia...

Niliua Kumlinda Mama Yangu – 07

Kabla ya kufanya kazi akawalipa kabisa nusu ya malipo waliyokuwa wakiyahitaji kisha kazi kubaki kwao tu. Waliambiwa tu kwamba walitakiwa kuwa makini kwani kwa namna moja au nyingine, mwanamke huyo alionekana kuwa na ulinzi...

Niliua Kumlinda Mama Yangu – 06

“Ni lazima tuishi kwa akili Kambani! Vipi kuhusu wale Waarabu?” aliuliza Nkone. “Waarabu gani?” “Wale wa Tunisia!” “Wako poa, leo asubuhi walinitaarifu kwamba mizigo imeingia bila matatizo na fedha watatuma jioni,” alisema Kambani. “Safi sana!” “Ila kuna kitu,” aliingilia...

Wachina Wagombea Kalio La Aunty Lulu! – Video

KATIKA hali ya kustajabisha, Wachina ambao hawakuweza kufahamika majina yao, wamenaswa wakipagawa na kugombea kumshika kalio, mtangazaji maarufu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ nchini China. Mrembo huyo amekwenda nchini humo hivi karibuni ambapo tukio hilo...

Niliua Kumlinda Mama Yangu – 05

“Karibu katika ulimwengu wa mabilionea,” alisema Nkone. “Asante sana, cha msingi ni kuziongeza fedha hizi ziwe nyingi zaidi, nitataka kufungua biashara nyingi,” alisema Edson. “Hilo ni la maana sana. Nitakuwa pamoja nawe, nitakuonyeshea michongo mingi ya...

NILIUA KUMLINDA MAMA YANGU – 04

Miezi ikakatika, mwaka mwingine ukaingia, Cynthia akatimiza miaka mitatu hivyo kuanza kusoma shule ya chekechea katika Shule ya Kimataifa ya St. Augustine, shule iliyokusanya watoto wengi wa watu wenye hela. Japokuwa maisha yalikuwa ya kifahari,...

Niliua Kumlinda Mama Yangu -03

Alichokifanya, mkono mmoja ukamshikilia mtoto Cynthia aliyekuwa akilia huku akipiga mbizi na kumwambia Anita amfuate kule alipokuwa akielekea. Safari yao fupi iliishia sehemu iliyokuwa na pipa moja kubwa lililokuwa likielea na kumwambia Anita alishikilie...

NILIUA KUMLINDA MAMA YANGU -02

“Sawa! Tutashukuru sana,” alisema Anita. Moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali, hakuamini kama yule aliyekuwa akimwangalia alikuwa Edson, yuleyule mvulana aliyempenda sana tangu walipokuwa shuleni. Hali hiyo hakutaka mumewe aione, hakutaka kugundulika ila mara nyingi alimwangalia...

NILIUA KUMLINDA MAMA YANGU -01

DAR ES SALAAM “Anita...” ilisikika sauti ikiita kwa nyuma. “Anitaaa...Anitaaa...” iliendelea kusikika sauti ya mwanaume mmoja nyuma. Watu waliokuwa wakipiga hatua kuelekea katika boti ya Royal Palm iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar,...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT