Saturday, March 17, 2018

Vanessa Mdee, Millard Ayo, Wazidua Instagram Bure Ya Vodacom

KAMPUNI ya simu ya Vodacom leo imezindua rasmi huduma mpya ya kutumia Mtandao wa Kijamii wa Instagram bure nchini Tanzania kwa mara ya kwanza, uzinduzi uliofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo...

Irene Uwoya: Namuamini Dogo Janja kwa 80% sio 100%

Baada ya kukwepakwepa Interview nyingi za Media TZ baada ya Ndoa yake na Dogo Janja Irene Uwoya apiga Interview na team LeoTena ya Clouds Fm 

Video: Jionee Uzinduzi wa Albam Ya A Boy From Tandale – Diamond

The King of East African Pop Music finally released his major label debut album which he features various African and American Artists. The Album was launched in Nairobi Kenya on 14th March 2018 with...

DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty (Official Music Video)

Diamond Platnumz & Omarion team up to break the internet. Check out African Beauty from the album "A Boy From Tandale". 

Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami Waokotwa Mtoni

MWILI wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah, unadaiwa umekutwa na wavuvi mto Ndabaka eneo la Bunda - Lamadi akiwa amefariki dunia jana Jumatano, Machi 14,2018 jioni huku watu wa karibu na...

Mama Kanumba: “Sijawahi kulia shida kwa Wema, Lulu kafungwa na Jamhuri”

Mama Mzazi wa marehemu Steve Kanumba amezungumza baada ya uvumi wa story kusambaa kuwa alikwenda kwa Wema Sepetu na hakufunguliwa mlango kitu kilichopelekea yeye kulalamika, Sasa Mama Kanumba kasema hajawahi kumuomba Wema msaada wala...

Diamond: Media Zinazokataa Kupiga Nyimbo Zangu Zinapotea

Mwanamuziki wa Bongo fleva na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa chombo chochote cha habari ambacho kinaibania WCB kwa njia yoyote basi kitapotea kwani yeye ni kama maji usipokunywa...

Habari Maarufu

Habari Kubwa

ENTERTAINMENT